CAF YATANGAZA KUFUATILIA MUENENDO WA SAMWEL ETOO

Mon media
0


 Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetangaza kuanza uchunguzi dhidi ya SamuelEto’o ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT) baada ya kupata malalamiko ya Wadau wa Soka Nchini humo wanaodai Mkongwe huyo amekuwa na mwenendo usiofaa


Haijawekwa wazi Uchunguzi utahusu masuala gani. Eto’o ataendelea na shughuli zake kama kawaida kwa kuwa suala hilo bado liko katika madai na #CAF haitatoa tamko hadi uchunguzi utakapokamilika


Tags

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top