CHAMA AMEMALIZA ADHABU YAKE SASA KUWAVAA YANGA

Mon media
0

Mei 21, 2023 Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ilitoa taarifa ya kufungiwa kucheza mechi tatu na faini Sh500,000 kwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji Abalkassim Suleiman wa Ruvu Shooting.


Katika adhabu hiyo Chama alikosa mechi mbili za Ligi Kuu dhidi ya Polisi Tanzania, Coastal Union na jana dhidi ya Singida Fountain Gate katika Ngao ya Jamii.


Rasmi sasa Chama anaweza kutumika katika mechi ya fainali Ngao ya Jamii 2023 Jumapili Agosti 13 dhidi ya Yanga itakayopigwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.


Tags

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top