MAMBO 4 MUHIMU YATAKAYO KUSAIDIA KUHIMILI KATIKA TENDO LA NDOA*

Mon media
0




Wanawake wengi wanagombana na wenza wao na hata wengine kufikia hatua ya kusaliti mahusiano yao kwa sababu hawavutiwi kuwaona wanaume zao wakiwahi kufika kileleni huku wao wakiwa bado hawajapata dozi kamili.


Zifuatazo ni njia nne zitakazo kusaidia Mwanaume uchelewe kufika kileleni na umridhishe Mwanamke wako ili uepuke fedheha;


1. *Fanya maandalizi ya kutosha;*


Ni muhimu sana kumuandaa mpenzi wako kabla ya kuanza kufanya "tendo". Kamwe usikurupuke tu na kutaka kuanza tendo ikiwa mwenza wako hayupo tayari! kwani hili linaweza kukusababisha wewe kumaliza wakati mwenzako akiwa ndio anajiandaa kuanza.


Tambua kuwa maandalizi yatasaidia kufanya mhemko wako ushuke, kukuongezea kujiamini na pengine kukuwezesha wewe na mwenza wako kuanza na kumaliza safari kwa pamoja.


2. *Idanganye akili yako;*


Idanganye akili ili kuzima taarifa za juu ya uzuri wa mwanamke unayefanya nae tendo. hii itasaidia "effects" za uzuri wa maumbile na raha ya starehe isipokelewe kwa nguvu kubwa mwilini.


Ukifanikiwa hili basi hata mwitikio wa hisia zinazopelekea kufika kileleni zitachelewa hivyo kukuwezesha kudumu katika tendo kwa muda mrefu zaidi na pia itakuondolea hali ya kuweweseka na kuhema hovyo.


3. *Jiachie mnapokuwa faragha;*


Inashauriwa kuwa Mwanaume na Mwanamke wanapoingia katika uwanja wa mapenzi wakae kwanza kwa muda, huku wakiwa wamejiachia na mavazi mepesi na ikiwezekana pia wacheze michezo mingi kwa muda mrefu bila kuanza ile "kazi" yenyewe. Hii inaongeza kujiamini na kupunguza uwezekano wa kufika haraka mwisho wa safari.


4. *Jibane unapokaribia kumaliza;*


Mwanaume unapaswa kujibana ukiona dalili za awali za kumaliza bila kujali umetumia muda gani. Unachopaswa kufanya ni kukaza misuli ya miguu na kuzuia mbegu kwa mtindo utumiao kuzuia haja ndogo isitoke.


Ni vyema ukiona unakaribia mwisho wa safari basi umtoe nyoka pangoni kwa muda ili joto la kwenye shimo liondoke, hii itakuongezea muda zaidi wa kufanya tendo hilo.


Tags

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top