AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HAWAWEZI KUDUMU KWENYE NDOA

Mon media
0


 AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HAWAWEZI KUDUMU KWENYE NDOA


1: Wanawake Wazuri sana.


-Inahitajika roho mtakatifu tu kumfanya mwanamke mrembo adumu ndani ya ndoa.


-Wana matumizi makubwa sana ( Wagharama sana) pia wengi wana tamaa kwa kujiona wanastahili kupata watu wenye ela zaidi na kutokana na kutamaniwa sana hujisahau na kuingia mtegoni 


-Wengine Wanatumia uzuri wao kama mtaji wa kutengeneza pesa


2:. Wanawake Wenye Elimu Zaidi


-Mwanamke akiwa na degree, masters, PhD ilii abaki kwenye ndoa ni neema ya Mungu tu.


-Sifa zao huwafanya wawe Single.


-Tembelea ofisi katika makampuni, wanawake wengi walio na nafasi za juu na matajiri hawajaolewa au waliachika


Chanzo kikuu ni kujifanya wajuaji kuliko hata waume zao, anaamini kama anaongoza wanaume ofisini na amekuzid elimu na ela kwann ww mume asikuongoze? 


3: WANAWAKE KUTOKA FAMILIA TAJIRI


-Wanawake wanaolelewa chini ya familia za kitajiri ni ngumu kuolewa kwa sababu wanataka mazingira yale yale waliyokulia nayo .

-Hawataki kushauriwa

Hujikuta mameneja mpaka ndan ya ndoa wajuaji na jeuri mno


4: Wanawake wapenda dini sana 


- Wanawake wengi walio na wito wa Mungu hawana waume, ama wameachika


- Hawana mda wa kufanya kazi za nyumbani


-Hawana muda wa kuwajali waume zao


-Waume zao hawawezi kuwashauri kwa sababu wanasikiliza tu kutoka kwa roho mtakatifu.


Kuna anaebisha hili?

Tags

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top