TUNDA AMVUA NGUO WHOZU AMTOLEA MANENO HAYA

Mon media
0

 


Baada ya Whozu kuwaka kuwa hampendi Tunda na kwamba amekuwa akimuongelea uongo hatimaye Tunda kaibuka na kumjibu Whozu akiandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa Insta Story 


"Msikilizeni kwa makini uyu bogus yaniii anisemee mimi afu mimi kumsemea anapanic asa ana paniki nini? uongo nini hapo unanipenda una hangaika na mimi sana mnooo yani wewe hata upate mwanamke wa aina gani huezi ku move on kwangu huwezi yaniiii....nilitegemea umedate mtu mkubwa zaidi yangu maarufu zaidi itakua afadhali umezoea utaishi kinyamwezi lakini wapiiiii ndo kwanzaaaaa bado akili yako iko nyuma tu.


Tulia nakuonya tena kwa mara ya mwisho na acha kusumbua marafiki zangu acha mara moja ulianza na kina Davto kipindi cha nyuma kuwafatafata mpaka nikaamua nikuachie saivi nimepata rafiki mwingine kutwa kumganda kumsumbua simu kumfatafata nyumbani achana na watu wangu kwani wanawake zako hawana marafiki???afu ukiambiwa unanipenda mitandaoni unalialia." Tunda.


#MsasaKisasaZaidi.

Tags

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top