HII HAPA SIRI YA UFUNGAJI WA FEISAL SALUM

Mon media
0


 Feisal Salum ‘Feitoto’ amekwea kwenye msimamo wa mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu bara baada ya kufunga bao lake la 16 kwenye ushindi wa 2-0 wa Azam Fc dhidi ya JKT Tanzania katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.


FT: JKT Tanzania 0-2 Azam FC

⚽ Sopu 29’

⚽ Feitoto 90’


Azam Fc imeendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kumaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu bara ikifikisha alama 63 baada ya mechi 28 huku zikiwa zimesalia mechi mbili pazia la Ligi kufungwa.


FT: Kagera Sugar 1-2 Coastal Union

⚽ Yusuph 74’

⚽ Mulingwe 16’

⚽ Modzaka 70’


MSIMAMO WA UFUNGAJI BORA


🥇🇹🇿 Feitoto — magoli 16

🥈🇧🇫 Aziz Ki — magoli 15

🥉 🇹🇿 Waziri Jr — magoli 12

Tags

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top