BURNA BOY ALIPIA GHARAMA ZA WAGONJWA HOSPITALI NZIMA

Mon media
0

 

Msanii maarufu kutoka Nigeria na Duniani Kwa ujumla burna boy ameonesha utu wa Hali ya juu ,kutokana na taarifa zilizotoka kuwa amelipia bili za matibabu ya wagonjwa hospitali nzima ya university of Cort horcourt teaching nchini Nigeria 


Burna amefanya hivo baada ya kutembelea hospitali hiyo akiwa na mama yake mzazi ambaye pia ndio meneja wake


Tags

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top