Hadi sasa mimi kama Msemaji bado sijapata uhalisia wa kipi kinaendelea kama ameongezewa mkataba au viongozi wameamua aondoke ama mazungumzo bado yanaendelea,” . “Likishamalizika kwa ngazi ya juu, uongozi unanipa taarifa au watatoa taarifa na Wanasimba wapate kufahamu kipi kinaendelea juu ya Mwamba wa Lusaka. Tuwe wapole ndugu zangu hadi Jumatatu (leo) tutajua kinachoendelea,” Ahmed Ally.
SIJUHI NINI KIMEMKUTA CHAMA - AHMED ALLY
June 25, 2024
0

Tags